Monday, August 17, 2009

WATU WAFURIKA KUSIKILIZA HUKUMU YA ZOMBE NA WENZAKE!!


Mpaka hukumu ya kesi inayowakabili askari polisi 9 na aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Dar es asalaam Abdallah Zombe inaendelea ambapo jaji Salum Masati anayesoma hukumu hiyo toka mida ya saa tatu ilipoanza amekuwa akipitia vifungu mbalimbali ili kuhitimisha kesi hiyo hapo baadaye watu wengi wamejitokeza ili kusikiliza hukumu hiyo ambapo pia vyombo vya usalama haviko mbali kwani vimeimarisha ulinzi katika eneo la mahakama hiyo ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa amani mara itakapotolewa hukumu hiyo.

No comments:

Post a Comment