Monday, August 17, 2009

Divorce cake -keki ya kuachana......haya tena


Wadau, mapenzi ni matamu lakini wakati mwingine yanakwisha. Waliokuwa wanapendana wanajikuta wanachukiana. Kama walikuwa wamefunga ndoa basi wanaachana (divorce). Sasa imeanza biashara ya kufanya party za kusherekea kuachana. Hebu mcheki hizi dizaini za keki!

No comments:

Post a Comment