Friday, August 21, 2009

Michelle Obama Avaa Kaptura Na Kuzua Mjadala Nchini Marekani!


Siku za karibuni kumekuwa na joto kweli nchini Marekani. Sehemu zingine joto ni kupita 100Degrees Farenheit! Rais na familia yake wako likizo kwasasa.
Mke wa Rais amezua mjadala mkubwa nchini humo, eti hatakiwi kuvaa kaptura. Mimi naona ni sawa tu kwa yeye kuvaa hivyo kwakuwa nchini humo uvaaji huo nyakati wa kipindi cha joto kama hichi si yeye pekee anayeamua kujiachia namna hiyo...? Na pia wako likizo kwasasa ni siyo kwenye ziara rasmi.
Je Mdau Unasemaje Hapo?

No comments:

Post a Comment