
Jarida maarufu la Forbes limetoa orodha yake ya The Most Powerful Women in the World. Miongoni mwa wanawake hao,yumo Michelle Obama ambaye hii ndio mara yake ya kwanza kuingia katika orodha hiyo. Je unajua nani ameshika namba moja? Je unaweza kuhisi ni wanawake wangapi kutoka barani Afrika wamo katika orodha hiyo? Bonyeza hapa ujionee

No comments:
Post a Comment