Tuesday, November 3, 2009

Usiku wa Utamaduni wa Tanzania! Tampere,Ufin.


Usiku wa tarehe 7-Nov- na 8-Nov-2009
Kutakuwa na chereko! chereko za Usiku wa utamaduni wa Mtanzania uliopewa jina
la Tanzanight,Tamasha hilo litafanyika Mjini Tampere,Finiland,
Wadau msikose Kujichanganya katika ukumbi maarufu Klub,Tampere
karibuni sana

No comments:

Post a Comment