Friday, August 21, 2009

"Jua haki yako"


Mwenyekiti wa kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu, Jaji mstaafu Ramadhan Manento,akifungua mafunzo ya haki za binadamu na biashara kwa baadhi ya wamiliki wa kampuni,kushoto ni mkurugenzi wa Tume ya Haki za Binadamu, Francis Nzuki na Joaquine Meello. Picha na Michael Matemanga.

No comments:

Post a Comment