Friday, August 28, 2009

Bayern Munich wamchota Robben!


Real Madrid wamekubali kumuuza Winga wa zamani wa Chelsea, Mdachi Arjen Robben, kwa Bayern Munich kwa ada ya Pauni Milioni 22.Robben, miaka 25, alitegemewa kuhama Real tangu Klabu hiyo iwanunue Cristiano Ronaldo na Kaka.Nae Bosi mkubwa wa Bayern Munich, Hoeness, ametamka: “Robben ataimarisha Timu. Yeye akicheza Winga kulia na Ribery kushoto Timu itakuwa bomba!”

No comments:

Post a Comment